Pages

Monday, 5 September 2011

Maazimio ya kikao cha 04.09.2011

1.tutakuwa na mkutano mkuu jumapili ya mwanzo wa mwezi wa kumi, muda tutawatangazia.
2.kutoa michango ya maendeleo ya nyumbani kama ilivyokubaliwa kikao cha sita
3.tumebunu kamati mbalimbali ili kuongeza ufanisi katika chama
4.tumekubaliana kuwa tunatoa report kwa kila kinachojadiliwa na kukubaliwa na wanachama
5.Kila mwanachama asome katiba na kuielewa na kama ana mapendekezo ayatoe kwa katibu wiki moja kabla ya mkutano mkuu, hii ikiwa ni pamoja na marekebisho ya katiba